-
2 Timotheo 1:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Nina shukrani kwa Mungu, ninayemtolea utumishi mtakatifu kama baba zangu wa zamani walivyofanya na nikiwa na dhamiri safi, kwamba siachi kamwe kukukumbuka wewe katika dua zangu, usiku na mchana
-