-
Yakobo 5:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Tazameni! Mishahara iliyo haki ya wafanyakazi waliovuna mashamba yenu lakini ambayo yazuiliwa nanyi, yafuliza kupaaza kilio, na vilio vya kutaka msaada kwa upande wa wavunaji vimeingia ndani ya masikio ya Yehova wa majeshi.
-