-
Yakobo 5:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Kwa hiyo, dhihirisheni subira akina ndugu, hadi kuwapo kwa Bwana. Tazameni! Mkulima hufuliza kungojea matunda yenye bei ya dunia, akidhihirisha subira juu yayo mpaka apatapo mvua ya mapema na mvua ya mwisho-mwisho.
-