-
2 Petro 3:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Lakini kwa neno hilohilo mbingu na dunia zilizopo sasa zimewekwa akiba kwa ajili ya moto na zinawekwa akiba hadi siku ya hukumu na ya uangamizo wa watu wasiomwogopa Mungu.
-