-
1 Yohana 3:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Zaidi ya hayo, yeye ambaye hushika amri zake hukaa katika muungano na yeye, na yeye katika muungano na mtu kama huyo; na kwa hili twapata ujuzi kwamba anakaa katika muungano na sisi, kwa sababu ya roho ambayo yeye alitupa sisi.
-