-
1 Yohana 4:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Mwapata ujuzi juu ya usemi uliopuliziwa kutoka kwa Mungu kwa hili: Kila usemi uliopuliziwa ambao huungama Yesu Kristo kuwa alikuja akiwa mwili hutokana na Mungu,
-