-
Ufunuo 10:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 naye akapaaza kilio kwa sauti kubwa kama vile wakati simba angurumapo. Na alipopaaza kilio, zile ngurumo saba zikatamka sauti zazo zenyewe.
-