-
Ufunuo 14:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 akisema kwa sauti kubwa: “Hofuni Mungu na kumpa utukufu, kwa sababu saa ya hukumu yake imewasili, na kwa hiyo mwabuduni Yeye aliyezifanya mbingu na dunia na bahari na mabubujiko ya maji.”
-