Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Juma Hili
Julai 7-13
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha—2025 | Julai

JULAI 7-13

METHALI 21

Wimbo 98 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Kanuni Zenye Hekima Zinazosaidia Kuwa na Ndoa Yenye Furaha

(Dak. 10)

Usifanye uamuzi haraka wa kufunga ndoa na mtu bila kumfahamu vizuri (Met 21:5; w03 10/15 4 ¶5)

Uwe mnyenyekevu kutoelewana kunapotokea (Met 21:​2, 4; g 7/08 7 ¶2)

Mtendeane kwa subira na fadhili (Met 21:19; w06 9/15 28 ¶13)

Mume anamsikiliza mke wake kwa subira anapojieleza.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Met 21:31—Mstari huu unatusaidiaje kuelewa maana ya unabii unaopatikana kwenye andiko la Ufunuo 6:2? (w05 1/15 17 ¶9)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Met 21:​1-18 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. (lmd somo la 3 jambo kuu la 3)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. (lmd somo la 7 jambo kuu la 3)

6. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 5) Onyesho. ijwfq makala ya 54—Kichwa: Mashahidi wa Yehova Wana Maoni Gani Kuhusu Talaka? (lmd somo la 4 jambo kuu la 3)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 132

7. Onyesha Heshima Katika Ndoa Yako

(Dak. 15) Mazungumzo.

Picha kutoka kwenye video “Jinsi ya Kuwa na Ndoa Yenye Furaha: Onyesha Heshima.” Dada akimletea mume wake kinywaji anaposoma huku akiwa ameketi kwenye sofa.

Unapofunga ndoa, unaapa mbele za Yehova kwamba utampenda na kumheshimu mwenzi wako. Hivyo, jinsi unavyomtendea mume au mke wako kunaathiri uhusiano wako na Yehova.—Met 20:25; 1Pe 3:7.

Onyesha VIDEO Jinsi ya Kuwa na Ndoa Yenye Furaha: Onyesha Heshima. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Kwa nini ni muhimu kumheshimu mwenzi wako wa ndoa?

  • Huenda tukahitaji kufanya mabadiliko gani ili tuonyeshe heshima zaidi?

  • Ni baadhi ya kanuni gani za Biblia zinazoweza kutusaidia?

  • Ni baadhi ya njia gani hususa za kumwonyesha heshima mwenzi wako?

  • Tunapaswa kukazia mambo gani kumhusu mwenzi wetu, na kwa nini?

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 28 ¶16-22

Umalizio (Dak 3.) | Wimbo 72 na Sala

Yaliyomo
Mnara wa Mlinzi (Funzo)—2025 | Aprili

Makala ya 18: Julai 7-13, 2025

26 Ndugu Vijana—Mwigeni Marko na Timotheo

Habari za Ziada

Makala nyingine katika gazeti hili

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki