Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 56
  • Tafadhali Sikiliza Sala Yangu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tafadhali Sikiliza Sala Yangu
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Tafadhali Sikiliza Sala Yangu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Yehova, Nguvu Zetu na Uweza Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mpe Yehova Utukufu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wimbo kwa Aliye Juu Zaidi Sana
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 56

Wimbo Na. 56

Tafadhali Sikiliza Sala Yangu

Makala Iliyochapishwa

(Zaburi 54)

1. Ewe Baba uliye juu

Mungu wangu; unisikie.

Jina lako, ni kuu sana.

(KORASI)

Usikilize sala yangu.

2. Ee Yehova, Asante sana,

Kwa uhai, na uongozi.

Nathamini ulinzi wako.

(KORASI)

Usikilize sala yangu.

3. Natamani kufanya mema!

Niwezeshe, kwenda nuruni.

Nipe nguvu nivumilie.

(KORASI)

Usikilize sala yangu.

(Ona pia Kut. 22:27; Zab. 106:4; Yak. 5:11.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki