Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 97
  • Songeni Mbele, Enyi Wahudumu wa Ufalme!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Songeni Mbele, Enyi Wahudumu wa Ufalme!
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Songeni Mbele, Tangazeni Ufalme!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Haya Mbele, Enyi Wahudumu wa Ufalme!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Songeni Mbele, Enyi Mashahidi!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Songeni Mbele, Enyi Mashahidi
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 97

Wimbo Na. 97

Songeni Mbele, Enyi Wahudumu wa Ufalme!

Makala Iliyochapishwa

(2 Timotheo 4:5)

1. Songeni mbele, tangazeni,

Wote na wasikie.

Na tusaidie wapole,

Wote wajiunge na sisi.

Utumishi wetu kwa Mungu,

Kwa kweli ni pendeleo.

Basi twende tukatangaze,

Jina tukufu la Mungu.

(KORASI)

Songa mbele,

Tangaza Ufalme kwa ujasiri.

Songa mbele,

Simama upande wake Yehova.

2. Wa’budu wa kweli songeni,

Tuzo tazamieni.

Mwigeni Yesu Bwana wetu,

Ufalme tangazeni.

Wote wapate kusikia,

Ujumbe huo muhimu.

Twamutegemea Yehova,

Hatuogopi chochote!

(KORASI)

Songa mbele,

Tangaza Ufalme kwa ujasiri.

Songa mbele,

Simama upande wake Yehova.

3. Tunasonga mbele pamoja,

Mabaki na kondoo.

Wazee, vijana, na wake,

Sambamba na ukweli.

Tuna huduma takatifu,

Hatufanyi kidesturi.

Mungu wetu tumupendeze,

Kwa mwenendo wetu safi.

(KORASI)

Songa mbele,

Tangaza Ufalme kwa ujasiri.

Songa mbele,

Simama upande wake Yehova.

(Ona pia Zab. 23:4; Mdo 4:29, 31; 1 Pet. 2:21.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki