Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • snnw wimbo na. 138
  • Jina Lako Ni Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jina Lako Ni Yehova
  • Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
  • Habari Zinazolingana
  • Jina Lako Ni Yehova
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wafundishe Kusimama Imara
    Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
  • Maisha ya Painia
    Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
  • Kufanikisha Maisha Yetu
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
snnw wimbo na. 138

Wimbo Na. 138

Jina Lako Ni Yehova

Makala Iliyochapishwa
  • Kurasa Zenye Maneno Pekee

  • Kurasa Zenye Alama za Muziki

(Zaburi 83:18)

  1. Mungu liye hai​—

    Wa kweli na Muumba

    Yehova jina lako​—

    Halibadiliki.

    Tunajivunia

    Kuitwa jina lako.

    Na duniani kote,

    Sifa twatangaza.

    (KORASI)

    Yehova, Yehova,

    Wewe ndiye Mungu.

    Mbinguni na duniani

    Hakuna mwingine.

    Ni wewe tu Mweza-Yote,

    Wote watambue.

    Yehova, Yehova,

    Hatuna Mungu mwingine.

  2. Watufanya tuwe,

    Kile unachotaka.

    Yehova jina lako​—

    Nasi twakutii.

    Mashahidi wako

    Umetuita hivyo.

    Heshima kubwa sana​—

    Kuwa watu wako.

    (KORASI)

    Yehova, Yehova,

    Wewe ndiye Mungu.

    Mbinguni na duniani

    Hakuna mwingine.

    Ni wewe tu Mweza-Yote,

    Wote watambue.

    Yehova, Yehova,

    Hatuna Mungu mwingine.

(Ona pia 2 Nya. 6:14; Zab. 72:19; Isa. 42:8.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki