Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • snnw wimbo na. 139
  • Wafundishe Kusimama Imara

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wafundishe Kusimama Imara
  • Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
  • Habari Zinazolingana
  • Wafundishe Kusimama Imara
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kufanikisha Maisha Yetu
    Mwimbieni Yehova
  • Maisha ya Painia
    Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
  • Muujiza wa Uhai
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
snnw wimbo na. 139

Wimbo Na. 139

Wafundishe Kusimama Imara

Makala Iliyochapishwa

(Mathayo 28:19, 20)

  1. Ni shangwe kufunza kondoo

    Waweze kukomaa.

    Yehova amewaongoza

    Kweli ni mali yao.

    (KORASI)

    Yehova, sikia sala

    Tunaomba uwatunze.

    Katika jina la Yesu: Wawezeshe;

    Wasimame tu imara.

  2. Imani walijaribiwa,

    Lakini tulisali.

    Na pia tukawafundisha;

    Imara wamekuwa.

    (KORASI)

    Yehova, sikia sala

    Tunaomba uwatunze.

    Katika jina la Yesu: Wawezeshe;

    Wasimame tu imara.

  3. Imani na muidumishe,

    Yehova mumwamini.

    Tiini na kuvumilia,

    Uzima mtapata.

    (KORASI)

    Yehova, sikia sala

    Tunaomba uwatunze.

    Katika jina la Yesu: Wawezeshe;

    Wasimame tu imara.

(Ona pia Luka 6:48; Mdo. 5:42; Flp. 4:1.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki