Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 109
  • Pendaneni Sana Kutoka Moyoni

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Pendaneni Sana Kutoka Moyoni
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Sitawisha Upendano Mwingi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Iweni na Juhudi Nyingi Katika Kupendana
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Mjengwe na Upendo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Mpende Mungu Anayekupenda
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 109

WIMBO NA. 109

Pendaneni Sana Kutoka Moyoni

Makala Iliyochapishwa

(1 Petro 1:22)

  1. 1. Tuonyeshapo upendo,

    Unaotoka moyoni,

    Twafurahisha Yehova,

    Sifa yake kuu.

    Tukiwa na nia njema,

    Tutapata marafiki.

    Upendo hauna choyo,

    Tumwige Yehova.

    Kwa neno na matendo,

    Na tuwasaidie wote.

    Tuwe rafiki kweli,

    Wanapopata shida.

    Yesu alitufundisha;

    Upendo wake Yehova.

    Tupendane sikuzote.

    Toka moyoni mwetu.

    Tupendane daima.

(Ona pia 1 Pet. 2:17; 3:8; 4:8; 1 Yoh. 3:11.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki