Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 23
  • Tumaini la Biblia kwa Wanadamu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tumaini la Biblia kwa Wanadamu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kufanikisha Maisha Yetu
    Mwimbieni Yehova
  • “Acheni Mungu Apatikane wa Kweli”
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Muujiza wa Uhai
    Mwimbieni Yehova
  • Muujiza wa Uhai
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 23

Wimbo 23

Tumaini la Biblia kwa Wanadamu

(Warumi 12:12)

1. Giza titi; hofu nyingi

Na viumbe vina wasiwasi bila

Tumaini. Vyapapasa

Mwisho wakaribia.

Biblia yatutia moyo sana,

Kwa kuwa Ufalme si mbali sana.

Mungu atafuta machozi yote.

Iweni wima; musihofu kamwe.

2. Ni huzuni, hofu nyingi,

Ni wazi kabisa, watu wanakufa.

Wote mwisho kaburini;

Jasho la watu bure.

Biblia inatoa tumaini,

Kuna ufufuo wa watu wafu.

Na watapewa maji ya uzima.

Hizo ni habari njema za Mungu.

3. Kwa kiburi, wadhihaki

Wamusuta Mungu, wachezea dhambi.

Na Shetani atawala,

Uovu waenea.

Biblia yasema karibu kuwe

Hukumu ya Yehova duniani.

Waovu wafutwe kwa umilele,

Wapole wataijaza dunia.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki