Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 69
  • Utawa Pamoja na Kuridhika

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utawa Pamoja na Kuridhika
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Unavyofaidika Kutokana na Kufuatia Utawa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Ujitoaji-Kimungu
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Ongezeni Kwenye Uvumilivu Wenu Ujitoaji-kimungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
  • Karibu Kwenye “Ujitoaji Kimungu” Mikusanyiko ya Wilaya
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 69

Wimbo 69

Utawa Pamoja na Kuridhika

(1 Timotheo 6:6)

1. Ili tubarikiwe,

Na tuwe na uradhi,

Tushike Neno la Mungu,

Tukazie utawa.

Utawa una faida,

Unatulinda na dhambi.

Tupite njia ya Mungu,

Unatubidiisha.

2. Nasi tuna uradhi,

Na mipango ya Mungu:

Utumikie Mungu tu,

Tazamia Ufalme.

Tunakubali mwaliko

Wayo njia ya wokovu.

Kwa furaha, Tunangoja

Kutetewa kwa Mungu.

3. Tunashukuru Mungu,

Yeye abarikiye,

Utawa wetu katika

Siku hizi za mwisho.

Tushike ukweli wake,

Tuondoe woga wote.

Tujikaze Turidhike

Sisi kama Wakristo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki