Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 130
  • Utumishi Wenye Furaha

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utumishi Wenye Furaha
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Shiriki Kikamili Katika Mavuno Makubwa ya Kiroho
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Mfalme wa Umilele, Litakase Jina Lako!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kutoa Utumishi Mtakatifu Usiku na Mchana
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Kuona Ubora wa Hazina ya Utumishi Mtakatifu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 130

Wimbo 130

Utumishi Wenye Furaha

(Zaburi 32:11)

1. Kwa furaha tutumikie Mungu,

Kwa vipawa hata ujuzi wetu.

Hata kazi ndogo yahakikisha

Moyo kamili, pendo, twaonyesha.

2. Utumishi wa Yehova ni mwingi,

Na wavunaji wanatakwa wengi.

Toka mbinguni tumeamuriwa;

Kwa kazi, sana tunabarikiwa.

3. Wawongo wajapokana ukweli,

Twajua ‘Mungu hasemi uwongo.’

Na tuhubiri Neno kwa bidii,

Kwa maana tuna hakika nalo.

4. Na kazi tamu tuishirikipo,

Kushuhudu wote tujaribupo,

Mungu atukubali chini hapa,

Tumutumikie, tumupe sifa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki