Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 210
  • ‘Hakikisheni Mambo Yaliyo ya Maana Zaidi’

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • ‘Hakikisheni Mambo Yaliyo ya Maana Zaidi’
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Upendo Wenu na Uwe Mwingi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Misaada Katika Kujiendesha Wenyewe kama Watu Wadogo Zaidi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
  • “Mhakikishe Mambo Yaliyo ya Maana Zaidi”
    Mwimbieni Yehova
  • Uwe Mwenye Hekima—Jiendeshe Mwenyewe kama Mtu Mdogo Zaidi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 210

Wimbo 210

‘Hakikisheni Mambo Yaliyo ya Maana Zaidi’

(Wafilipi 1:10)

1. Tunatumikia Yehova;

Ndiye twapenda.

Upendo ni wa maana;

Watoka kwa Mungu.

Na uzidi tunapohakikisha mambo

Ya adili na ya kweli.

Nasi tuwe bila kosa,

tufanye kazi ya Mungu.

2. Mungu anataka tuwe

Watu wa shukrani,

Tutii yeye na

kushika ukamilifu.

Tuishi kwa amani na wote tuwape

Tumaini la Ufalme

—Tutende mema, tusiwakwaze,

tuwasaidie.

3. Muhimu ni kupamba

mafundisho ya Mungu,

Twende kama wadogo,

tufuate shauri.

Na tuwe waadilifu,

tuchangamuke Katika kazi ya Mungu.

Hivyo twahakikisha

mambo ya maana zaidi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki