Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 16
  • Furahia Tumaini la Ufalme!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Furahia Tumaini la Ufalme!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Wimbo Mpya
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wimbo Mpya
    Mwimbieni Yehova
  • Wimbo Mpya
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Msifu Yehova kwa Wimbo
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 16

Wimbo 16

Furahia Tumaini la Ufalme!

(Warumi 15:10-13)

1. Furahi! Furahi!

Tumaini la Ufalme!

Furahi! Furahi!

Ufalme karibu!

Tegemeza utawala.

Jibidiisheni.

Lishikeni tumaini.

Julisheni watu.

Furahi! Furahi!

Lijulishe tumaini!

Furahi! Furahi!

Ufalme karibu!

2. Furahi! Furahi!

Mutumaini Yehova!

Furahi! Furahi!

Pata pumuziko!

Jikaze kwa tumaini.

Usione haya.

Haupapasi gizani;

Ulikombolewa.

Furahi! Furahi!

Mutumaini Yehova!

Furahi! Furahi!

Epuka mitego!

3. Sifuni! Sifuni!

Tumaini latuvuta!

Sifuni! Sifuni!

Tumikia Mungu!

Inueni macho yenu!

Ndio wa mavuno,

Wakati, mengi matunda,

Kondoo wajapo.

Sifuni! Sifuni!

Mungu hututia nguvu!

Sifuni! Sifuni!

Uwe mwaminifu!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki