Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Agosti uku. 4
  • Msifu Yehova kwa Wimbo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Msifu Yehova kwa Wimbo
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Furahia Tumaini la Ufalme!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mwimbie Yehova Sifa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
  • Kumsifu Yehova kwa Wimbo
    Huduma Yetu ya Ufalme—1991
  • Imba kwa Shangwe na Sauti Kubwa!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Agosti uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 15-16

Msifu Yehova kwa Wimbo

15:1, 2, 11, 18, 20, 21

Muziki unaweza kuathiri sana jinsi tunavyofikiri na kuhisi. Kuimba ni sehemu muhimu ya ibada yetu kwa Yehova.

  • Musa na Waisraeli wakimwimbia Yehova wimbo wa ushindi.

    Musa na Waisraeli walimwimbia Yehova sifa alipowakomboa kimuujiza kwenye Bahari Nyekundu

  • Walawi wakipiga tarumbeta na kuimba ili kumwabudu Yehova.

    Mfalme Daudi aliwaweka rasmi wanaume 4,000 kuwa waimbaji na wanamuziki hekaluni

  • Yesu na mitume waaminifu wakimwimbia Yehova sifa.

    Yesu na mitume wake walimwimbia Yehova sifa usiku uliotangulia kifo chake

Nina fursa zipi za kumwimbia Yehova sifa?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki