Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 205
  • Kristo Mfano Wetu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kristo Mfano Wetu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Mkate Kutoka Mbinguni
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kristo Mfano Wetu
    Mwimbieni Yehova
  • Shukrani kwa Mpaji wa Uzima
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • “Nataka”
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 205

Wimbo 205

Kristo Mfano Wetu

(1 Petro 2:21)

1. Yehova ni mwenye Upendo, na mwema,

Mwanaye alimutuma!

Akiwa Mukate, Wanadamu wale

Ili waishi milele.

2. Yesu alifunza Tusali kwa Mungu:

’Litakaswe Jina lako.

Ufalme na uje. Mapenzi yafanywe.

Tupewe riziki yetu.

3. Alifunza kweli Akawafariji

Wasikia neno lake.

Akafa mutini Wote wawe huru

Afanye Neno la Mungu.

4. Tukiithamini Dhabihu ya Yesu,

’Takuwa “Kondoo” zake.

Siku zijawe na Kumusifu Mungu,

Tutavuna tunda naye.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki