Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 183
  • Mahali pa Vijana Katika Mpango wa Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mahali pa Vijana Katika Mpango wa Mungu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kufanikisha Maisha Yetu
    Mwimbieni Yehova
  • Kutafuta Marafiki wa Amani
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kutafuta Marafiki wa Amani
    Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
  • Muujiza wa Uhai
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 183

Wimbo 183

Mahali pa Vijana Katika Mpango wa Mungu

(Zaburi 148:12, 13)

1. Kunayo nafasi ndani ya mupango.

Mungu aita vijana, wazee.

Itikio lao linavutia we,

Wauhubiripo Ufalme wake.

Una matokeo ushuhuda wao,

Wako maridadi tena tayari!

Wanathaminiwa sana na Yehova;

Wanapendeza hata na wazee.

2. Itakuwa siku ya furaha sana

Kwa vijana wajuao Yehova!

Wana akiba ya wakati ujao

—Uzima wa milele Paradiso!

Sasa tunayo mikazo mingi sana

Ya mufumo utakaotoweka.

Lazima tupige vita tuushinde;

Sharti tushikamane na Ufalme.

3. Watapata rafiki walio wema.

Mbona wawe rafiki za ’limwengu?

Na wajishughulishe na yajengayo,

Kwenye kurasa za Neno la Mungu.

Wakati wa shida acheni vijana,

Watafute wale wawapendao.

Mungu ndiye Rafiki yao mukubwa;

Mwenye ufahamu hata rehema.

4. Tu washiriki wa kundi la Kikristo,

Humo Yesu atupa haja zetu.

Basi na tushikamane tu na yeye;

Na kuyatii mashauri yake.

Na tusifanane nao ulimwengu;

Mungu asafishe akili zetu.

Vijana na wazee tuaminike,

Tumusifu tukapate uzima.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki