Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 119
  • Kushikilia Sana “Tumaini la Furaha”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kushikilia Sana “Tumaini la Furaha”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kushikilia Tumaini Letu
    Mwimbieni Yehova
  • Kushikilia Tumaini Letu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Wimbo kwa Aliye Juu Zaidi Sana
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 119

Wimbo 119

Kushikilia Sana “Tumaini la Furaha”

(Tito 2:13)

1. Watu wamepapasa katika giza.

Wanakimbizana na ubatili.

Watenda uovu wafunuliwa;

Ni aibu kwa dhambi zao.

(Korasi)

2. Tunafurahi kujua ni kwa nini

Yehova ameruhusu uovu.

Karibuni Kristo auondoe.

Walio wake wataimba.

(Korasi)

3. Leo tangazo linatolewa kote.

Watu waishi bila kuogopa.

‘Mungu ataweka huru viumbe.’

Kwa hiyo tazameni mbele.

(KORASI)

Furahini Ufalme karibu.

Utaiondoa hofu kabisa.

Sasa, ole zote zitakwisha.

Na tulishike tumaini hili.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki