Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 128
  • Fanya Zaidi—Kama Walivyofanya Wanadhiri

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Fanya Zaidi—Kama Walivyofanya Wanadhiri
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Unaweza Kuwaigaje Wanadhiri?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Mambo Tunayoweza Kujifunza Kutoka kwa Wanadhiri
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
  • Jeshi Hodari la Yehova la Wapiganaji wa Wakati Wote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Hesabu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 128

Wimbo 128

Fanya Zaidi—Kama Walivyofanya Wanadhiri

(Hesabu 6:8)

1. ’Nadhiri—Tuwe kama hao.

Tutende kama wao.

Walitengwa wawe wa Mungu

Kwa njia ya pekee.

Chunguza! Fikiria hilo.

Wakati wamalizika.

Tuzidishe utumishi,

Tupa’ze sauti.

2. ’Nadhiri—Hawakutamani.

Walijinyima sana.

Walikaribia Yehova.

Nasi tufanye hivyo.

Walikuwa na vizuizi;

Kwa kuwa walinadhiri.

Na wengi wa ndugu zetu,

Wanaishi hivyo.

3. ’Nadhiri—Tofauti sana,

Wakawa na ishara.

Walifanya mengi zaidi;

Wakawa watiifu.

Kwa kufanya kazi na Mungu

Kwa imani tunatii

Yehova atubariki,

Na kutuhimiza.

4. ’Nadhiri—’Kaweka mufano.

Kuwa watakatifu.

Kama wao tusichafuke;

Na walibarikiwa.

Hesabu gharama halafu

Utumaini Yehova.

Uwe mustari wa mbele,

Ufurahi sana.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki