Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 79
  • Uumbaji Unafunua Utukufu wa Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uumbaji Unafunua Utukufu wa Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Uumbaji Unatangaza Utukufu wa Yehova
    Mwimbieni Yehova
  • Mbingu Zatangaza Utukufu wa Mungu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Sifu Yehova, Mwamba
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mpe Yehova Utukufu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 79

Wimbo 79

Uumbaji Unafunua Utukufu wa Yehova

(Zaburi 19)

1. Yehova E, mimi ninajua,

Mbingu zinakutukuza wewe.

Muchana na usiku zasema

Zawaarifu wapole kimya.

Muchana na usiku zasema

Zawaarifu wapole kimya.

2. Umeumba mwezi, jua, nyota,

Nazo bahari umezuia.

Mutu aona uliyofanya,

Na kukusifu E Mustahili.

Mutu aona uliyofanya,

Na kukusifu E Mustahili.

3. Sheria zako, ni kamilifu.

Vikumbusho umetoa wewe.

Ili tuwe safi na hekima.

Tuzishike, daima milele!

Ili tuwe safi na hekima,

Tuzishike, daima milele!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki