Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 52
  • Jina la Baba Yetu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jina la Baba Yetu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Bariki Udugu wa Kikristo Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Upendo Mshikamanifu wa Mungu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Sababu ya Kufurahi kwa Sayuni
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Uzima wa Milele Umeahidiwa
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 52

Wimbo 52

Jina la Baba Yetu

(Mathayo 6:9)

1. E Yehova, Baba yetu,

Jina na litakaswe.

Na kusudi lako liwe,

Lisidharauliwe.

Karibuni litetewe,

Kwa ushindaji wako.

Sifa yako izidishwe;

Watu wote waone.

(Korasi)

2. Twatafuta njia za

Kutakasa jina lako;

Kwa ujasiri twasema

Sifa, kusudi lako.

Kwa imani uhodari,

Tukuheshimu wewe.

E Baba Mutakatifu,

Tuwe waaminifu.

(Korasi)

3. E Bwana Yehova Mungu,

Ni wewe Peke Yako.

Kutukuzwa kwa Yehova

Ni kwa maana sana.

Tunakweza jina lako;

Twataka kujulisha

U Mungu wa kusudio

Milele tubariki.

(KORASI)

Ewe Bwana, u Mufanyi;

Vyote uliviumba,

U Mungu wa makusudi,

Unayatekeleza.

E Yehova, Mungu Mweza,

Uliyetoa Mwana,

Mapenzi yako yafanywe,

Na yeye kwa Ufalme.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki