Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 74
  • Yehova, Mwandalizi wa Wokovu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova, Mwandalizi wa Wokovu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Huokoa
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Yehova Huokoa
    Mwimbieni Yehova
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Tutaokokaje?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 74

Wimbo 74

Yehova, Mwandalizi wa Wokovu

(Zaburi 18:1, 2)

1. Leo unabii watimizwa sasa.

Shetani katupwa; ole kwa dunia.

Mungu akatawaza Yesu Bwana. Twaimba:

“Yah ataokoa.”

(Korasi)

2. Ushikamanifu unajaribiwa;

Roho ya ’limwengu yatushambulia.

Fikira na mwenendo uwe safi, Tutunze,

Tuje tuokoke.

(Korasi)

3. Upesi Kristo ataponda Shetani,

Na hakutakuwa kilio na kifo.

Na mbingu na dunia, Yah afanya Ni mupya,

Yah ametuponya.

(KORASI)

Yehova huokoa wa’minifu

Adui ’taona Yah ni Mwamba wa nguvu.

Bila woga, watu wa Mungu, twamusifu

Yah Yehova, Wokovu wetu, twamusifu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki