Wimbo 199
“Tamasha ya Ulimwengu Huu Inabadilika”
1. Watu wajapoharibu
Dunia yake Yehova,
Tungali twatumaini
Mungu atakomesha.
(Korasi)
2. Adui ni kama umbwa.
Wanataka tuwe hoi.
Lakini tuna furaha;
Ushindi tutapata.
(Korasi)
3. Adui wajapokuja
Wajaribu kuzuia,
Twashika Neno la Mungu
Tusafishe mioyo.
(Korasi)
4. Mufumo wa Ibilisi
Waisha; aharibiwe.
Twatetea mambo hayo
—Nasi twavumilia.
(KORASI)
Japo tamasha ya ulimwengu
Inabadilika, Mungu
Atupangia mambo.