Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 31
  • Bidii kwa Ajili ya Nyumba ya Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Bidii kwa Ajili ya Nyumba ya Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Watu Wenye Juhudi ya Kazi Njema
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Uwe Mwenye Bidii Katika Kueneza Ujumbe wa Ufalme
    Huduma Yetu ya Ufalme—1990
  • “Wenye Bidii kwa Kazi Njema”
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Je, Una “Bidii kwa Ajili Ya Kazi Njema”?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 31

Wimbo 31

Bidii kwa Ajili ya Nyumba ya Yehova

(Yohana 2:17)

1. Kwa nyumba ya Mungu Yesu

Alitia bidii.

Iliwaka ndani yake,

Kafunua uovu.

Alihubiri wokovu,

Kweli akatangaza.

Kwa jina la Baba yake

Bidii ikamula.

2. Wafuasi na mitume

Walitia bidii.

Kwayo roho takatifu

Makundi yakakua!

Daima wakahubiri,

Watu nyumba kwa nyumba.

Wakatangaza wokovu

Wakisema tubuni.

3. Na leo twaona watu

Walio na bidii,

Roho yao haizimwi

Na ulimwengu ’bovu.

Wahimizwa na Yehova;

Wajitoa kwa moyo.

Wanahubiri Ufalme,

Wanatia bidii.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki