Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 180
  • Kitabu cha Mungu Mwenyewe—Hazina

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kitabu cha Mungu Mwenyewe—Hazina
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kitabu cha Mungu Ni Hazina
    Mwimbieni Yehova
  • Kitabu cha Mungu Ni Hazina
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Shukrani kwa Ajili ya Subira ya Kimungu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mtafute Mungu Upate Ukombozi
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 180

Wimbo 180

Kitabu cha Mungu Mwenyewe—Hazina

(Mithali 2:1)

1. Kuna kitabu, kurasa ni nyingi,

Chaletea watu tumaini.

Mawazo yacho yana nguvu nyingi;

“Wafu” chafufua, hupa macho.

Na kitabu hicho ndicho Biblia.

Kiliandikwa na watu kale,

Waliomupenda Yehova sana,

Roho yake ikawachochea.

2. Waliandika mambo ya viumbe,

Ulimwengu ulivyotokea.

Ukamilifu wa mutu mwanzoni

Paradiso ilivyopotea.

Wanasema juu ya malaika

Ambaye kapinga enzi kuu.

Kukawa dhambi na huzuni nyingi,

Ushindi wa Yah waja upesi.

3. Leo twaishi muda wa furaha.

Ufalme wa Yesu kazaliwa.

Leo Yehova huwapa wokovu

Wote wenye umoja na yeye.

Kitabu kinazo habari njema;

Hakilinganishwi na dhahabu.

Hupa tumaini kubwa zaidi;

Ndiyo hadithi kubwa zaidi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki