Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 11
  • Mabaki ya Kishulami

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mabaki ya Kishulami
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Upendo wa Kweli Ni Wenye Shangwe ya Ushindi!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
  • Mfano wa Kuigwa—Mshulami
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • “Upendo Una Nguvu Kama Mauti”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Kitabu Cha Biblia Namba 22—Wimbo Ulio Bora
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 11

Wimbo 11

Mabaki ya Kishulami

(Wimbo Ulio Bora 6:13)

1. ’Penzi ’Shulami E, Murembo sana,

Mema ya kiroho wengi hawana.

Una neno jema, madaha mema

Nakupenda wewe, ’Shulami mwema.’

2. Ni maneno yake, Yesu Bwanake,

Amupe milele zawadi yake.

Murembo huyo, E, anajibuje,

Nao wema wake ufuatweje?

3. ‘Ibada pekee ni ghali sana.

Moto, Sheoli, pendo, hufanana.

Pendo lishindweje, halichoki we.

Wapenda kama mwali wa Yehova.’

4. “Baki” la ‘Shulami, musipotoke;

Kwa Bwana wenu muwe safi, wema.

Bikira wenzenu na wawajie

Na muthaminike mufurahie.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki