Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 67
  • Wekeni Hazina Mbinguni

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wekeni Hazina Mbinguni
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Tuna Hazina za Kuwagawia Wengine
    Huduma Yetu ya Ufalme—2008
  • Kupata Hazina Ambazo “Zimefichwa Kwa Uangalifu Ndani Yake”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Tumaini Lako—Je, Ni Mungu au Mali?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Wewe ‘Umeacha Kuweka Hazina Duniani’?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 67

Wimbo 67

Wekeni Hazina Mbinguni

(Mathayo 6:20)

1. Na tumupende Yehova,

Baba wa nuru juu!

Zawadi kamili zote,

Zatoka kwake yeye.

Hupa nguo hata nyumba,

Mbegu, jua na mvua.

Tumushukuru Mukimu

Atupaye uzima.

2. Ni jambo la upumbavu

Tukijikaza, mali,

Za muda tu kurundika,

Hazitupi uzima!

Lakini na tutosheke

Na tunayohitaji,

Na kwa mema na tushike

Uzima wa hakika.

3. Tutumie mali, nguvu

Tulishe “masikini”,

’Wa njaa, habari njema

Watumai Ufalme.

Hapo ndipo Mungu, Kristo,

Watakuwa rafiki;

Tuweke hivyo hazina

Mbinguni kwa ’milele.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki