Wimbo 60
Ufalme wa Mungu wa Miaka Elfu Moja
1. Elfu moja miaka imewekwa.
Ndio wakati wa Yesu kutawala.
Nao mia aroba’ na nne elfu.
Kuwa makuhani-wafalme na Yesu.
2. Watu wote watawahurumia,
Kufuta dhambi watakufurahia.
Dunia itakuwa Paradiso
Wakombolewa wote kusifu Mungu.
3. Elfu moja miaka ya Ufalme!
Tunauona uzuri kwa imani:
Watu wafu wafufuliwa hai.
Itakuwako hukumu adilifu.
4. Na tutie bidii yetu sote;
Zidi kulinda upesi yaja siku.
Tuwe nao, ujasiri, hekima,
Tuite wote waombe Mungu mara.