Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 122
  • Tukijiongoza Wenyewe Kama “Aliye Mdogo Zaidi”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tukijiongoza Wenyewe Kama “Aliye Mdogo Zaidi”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Misaada Katika Kujiendesha Wenyewe kama Watu Wadogo Zaidi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
  • Uwe Mwenye Hekima—Jiendeshe Mwenyewe kama Mtu Mdogo Zaidi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
  • Sitawisha Ile Roho ya Aliye Mdogo Zaidi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Bariki Kukutana Pamoja Kwetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 122

Wimbo 122

Tukijiongoza Wenyewe Kama “Aliye Mdogo Zaidi”

(Luka 9:48)

1. Wamependelewa wale

Wanaotii Mungu.

Wategemeao Mungu

Wanapata baraka.

Na kwa kuwa tumerithi

Kutokukamilika,

Twapaswa kunyenyekea

Na kutii Yehova.

2. ‘Na muwe kama wadogo,’

Yesu akashauri.

Na matokeo bora ni

Amani na umoja.

Aliuweka mufano.

Aliofurahia

Kutii Yehova Mungu

Na kumutumikia.

3. Basi tuwe na hekima

Kwa kuheshimiana

Naye Yesu alifia

Na ndugu yetu pia.

Ndugu ni mali ya Mungu;

Akawapa talanta.

Na tuwe kama wadogo

Nasi tusawazike.

4. Na kanuni ya ukichwa

Inatusaidia

Sisi tujiweke nyuma

Tukazie upendo.

Roho yake Mungu ipo

Kutufanya imara.

Uhusiano na Mungu

Utatunyenyekeza.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki