Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 145
  • Uwe Mstahimilivu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uwe Mstahimilivu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Tunda la Roho
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Njia ya Upendo Ipitayo Zote
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • “Lihubiri Neno”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kutafuta Marafiki wa Amani
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 145

Wimbo 145

Uwe Mstahimilivu

(1 Wathesalonike 5:14)

1. Lo! Yehova Mufalme alivyo

Kielelezo chema!

Kasutwa, akanung’unikiwa,

Bali hakuchoka la.

Israeli walimusumbua,

Na wanadamu pia.

“Kondoo” wa zizi lake pia

Awastahimilia.

2. Kama Yehova Mungu wa sifa

Astahimili sisi,

Tunaweza kweli hiyo sifa

Kuionyesha nasi.

Tunda hili tutalitumia

Tukiwako shambani

Tuseme vema, tuwe wapole,

Tusiwe hasirani.

3. Ustahimili husaidia

Tudumishe umoja

Muda tustahimilipo sisi

Kwenye kundi, jamaa.

Tusikie Mungu atusifu,

Kutuambia “Vema!”

Upendo, hekima tuonyeshe

Mpaka tukamilike.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki