Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 78
  • Kusema “Lugha Safi”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kusema “Lugha Safi”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Lugha Safi Kwa Ajili Ya Mataifa Yote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Je, Unazungumza Ile “Lugha Safi” kwa Ufasaha?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Unganishweni Na Lugha Iliyo Safi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Semeni Lugha Iliyo Safi Mkaishi Milele!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 78

Wimbo 78

Kusema “Lugha Safi”

(Sefania 3:9)

1. Watu wa Mungu wanasema lugha,

Safi ya kuunganisha.

Yapendeza, yafurahisha moyo.

Matokeo ni upendo.

2. Yah hulitoa badiliko hilo

Kwa watu wanyenyekevu.

Maana wa tayari kufundisha

Wengineo waiseme.

3. Mawazo, tabia mbaya zatupwa

Wanapojifunza lugha.

Wanayasafisha maisha yao.

Za ulimwengu waacha.

4. Bega kwa bega twamutumikia.

Aongoza watu wake.

Na tunahubiri kwa lugha safi;

Tunatangaza ujumbe.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki