Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 188
  • Zawadi ya Sala

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Zawadi ya Sala
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Yesu Anatufundisha Kusali
    Kumsikiliza Mwalimu Mkuu
  • Mkaribie Mungu Kupitia Sala
    Furahia Maisha Milele!—Masomo ya Kujifunza Biblia
  • Zawadi ya Sala
    Biblia Inatufundisha Nini?
  • Tuombeane
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 188

Wimbo 188

Zawadi ya Sala

(1 Timotheo 2:8)

1. Mungu anasikia

Washika neno lake.

Kupitia Yesu tu

Tumufikie Mungu.

2. Sala asikiazo

Ni zile za unyofu.

Zikitoka moyoni

Huwa zenye heshima.

3. Tusalipo kwa Mungu,

Sala zetu zisiwe

Wimbo wa kurudiwa,

Na ziwe changamufu.

4. Tusiache kusali

Twendapo uzimani.

Sala inafariji;

Zawadi toka Mungu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki