Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 54
  • Ni Lazima Tuwe Watakatifu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ni Lazima Tuwe Watakatifu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Lazima Mwe Watakatifu Kwa Sababu Yehova Ni Mtakatifu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Inamaanisha Nini Kuwa Mtakatifu?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Ni Bwana”
    Mkaribie Yehova
  • “Lazima Muwe Watakatifu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 54

Wimbo 54

Ni Lazima Tuwe Watakatifu

(1 Petro 1:15, 16)

1. Ni lazima tuwe watakatifu,

Tumesafishwa kwa Kristo Yesu.

Watu wasafi, wanyenyekevu,

Machoni pa wote tuwe hivyo.

2. Tumewekwa kando kuwa wa Mungu,

“Taifa” na “kondoo wengine.”

Na kwa mwenendo wetu twakiri

Tunataka kushika sheria.

3. Inavutia tusongapo mbele

Tunasafishwa na Mungu wetu.

Awapa watu wake ukweli,

Na ‘tusiangalie ya nyuma.’

4. Na tuzitumie nafasi zote,

Tuzidi kuwa watakatifu.

Tusifu Mungu, tumupendeze,

Ndiye ’Takatifu, mwaminifu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki