Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 45
  • Sala ya Shukrani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sala ya Shukrani
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Sala ya Shukrani
    Mwimbieni Yehova
  • Mkaribisheni Mfalme Anayekuja!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Shukrani kwa Ajili ya Subira ya Kimungu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Yehova Ni Mfano Bora Sana wa Wema
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 45

Wimbo 45

Sala ya Shukrani

(Zaburi 65:2)

1. Yehova mwema, sifa ni zako,

Ni wewe tunayekuitia,

Twaja kwako, Musikia sala,

Twajiweka kwako ututunze.

Sisi watenda dhambi dhaifu;

Tunakuomba utusamehe.

Asante! kwa damu ya Mwanao.

Tunatamani utufundishe.

2. Wa furaha unaoalika

Nyuani za mafunzo na nuru.

Neno lako linatuongoza.

Tutaridhika na wema wako.

Nguvu zako za haki zatisha,

Hukumu yako inyoshe mambo.

Mungu wa wokovu ’Falme wako,

Tuuhubiri, hautashindwa.

3. Ulinzi wako ufurahishe;

Na ibada yako iwe kote.

Ufalme wako wa wema waja,

Magonjwa, kifo, huzuni kwisha.

Yesu ataharibu uovu.

Viumbe walie kwa furaha.

Kwa shangwe ya ushindi tuimbe:

“Sifa ni za Yehova Mufalme!”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki