Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 82
  • Wanawake Ni Jeshi Kubwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wanawake Ni Jeshi Kubwa
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • ‘Wanawake Wenye Bidii Katika Bwana’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Wanawake Wanatimiza Sehemu Gani Katika Kusudi la Yehova?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
  • Wanawake Waaminifu, Dada Wakristo
    Mwimbieni Yehova
  • Mwisho wa Vita
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 82

Wimbo 82

Wanawake Ni Jeshi Kubwa

(Zaburi 68:11)

1. Yehova asema mwenyewe.

Wahubiri wanawake;

Dada hao ni jeshi kubwa;

Wanatangazia watu.

Waamuka mapema sana

Watunze jamaa zao.

Kwa kutangulia kupanga,

Wanashiriki huduma.

2. Dada hawa, tunaombea,

Baraka tele za Mungu.

Wanatimiza mengi sana,

Sisi ndugu twawasifu.

Wengi wajane, wa zamani,

Wakabili matatizo.

Hawakosi mikutanoni;

Nao wadumu mbioni.

3. Tujali hawa ambao ni

Mama, mabinti na wake.

Wanayashiriki mavuno,

Kuziokoa maisha.

Jeshi hili linasifika.

Bidii yao faida.

Na tuwajali kwa huruma.

Mungu ‘hakusema’ bure.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki