Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 21
  • Wenye Furaha ni Walio na Rehema

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wenye Furaha ni Walio na Rehema
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Wenye Furaha, Warehemifu!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • ‘Baba Yenu Ni Mwenye Rehema’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Tunamtumikia Mungu Aliye “Tajiri Katika Rehema”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • Je! Rehema ya Mungu Inafunika Dhambi Zako Zote?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 21

Wimbo Na. 21

Wenye Furaha Ni Walio na Rehema!

Makala Iliyochapishwa

(Mathayo 5:7)

1. Wenye furaha ya kweli!

Ni walio na rehema.

Hujulisha watu wote,

Mungu apenda rehema.

Alionyesha rehema,

Kwa kumutoa Mwanaye.

Huwarehemu wapole,

Anajua tu dhaifu.

2. Wenye rehema hupata,

Baraka zake Yehova.

Wanaonyeshwa rehema.

Kristo anawatetea.

Wanarehemu wengine,

Kwa kulihubiri Neno,

Na kuwajulisha watu:

“Ufalme unatawala.”

3. Wapole watauona

Upendo wake Yehova.

Wataonyeshwa rehema,

Kwa kuwa wanamuiga.

Na tuwe wenye rehema

Kama Yehova na Kristo.

Na tuonyeshe rehema

Daima siku kwa siku.

(Ona pia Luka 6:36; Rom. 12:8; Yak. 2:13.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki