Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 73
  • Pendaneni Sana Kutoka Moyoni

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Pendaneni Sana Kutoka Moyoni
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Pendaneni Sana Kutoka Moyoni
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Iweni na Juhudi Nyingi Katika Kupendana
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • “Zaidi Ya Mambo Yote, Iweni Na Upendo Mkubwa”
    Endeleeni Kukesha!
  • Upendo Mshikamanifu wa Yehova Unamaanisha Nini Kwako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 73

Wimbo Na. 73

Pendaneni Sana Kutoka Moyoni

Makala Iliyochapishwa

(1 Petro 1:22)

1. Upendo na tuonyeshe,

Unaotoka moyoni;

Tuwe na hisia-mwenzi,

Kwao ndugu zetu.

Na waone waziwazi,

Tuna nia njema kwao.

Tuonyeshe ukarimu,

Tumuige Mungu.

Kwa neno na matendo,

Na tuwasaidie wote.

Tuwaonyeshe wema,

Tunapopata fursa.

Tuwaonyeshe heshima;

Na fadhili nyingi pia.

Tusifunue makosa,

Ya ndugu wala dada.

Tudumishe umoja.

2. Upendo tukiwa nao,

Hatutakasirika la.

Tunawaamini sana,

Ndugu zetu wote.

Tutakuwa marafiki,

Wanaothaminiana,

Wanaoshirikiana,

Kutiana moyo.

Kila siku twakosa;

Na kuwaumiza wengine.

Tuwe waangalifu,

Tusikwaze yeyote.

Urafiki tudumishe,

Sikuzote tupendane.

Pendo litutambulishe,

Na kutukuza Mungu;

Tumuige Yehova.

(Ona pia 1 Pet. 2:17; 3:8; 4:8; 1 Yoh. 3:11.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki