Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 82
  • Igeni Upole wa Kristo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Igeni Upole wa Kristo
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Igeni Upole wa Kristo
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wenye Hali Pole Ni Wenye Furaha Kama Nini!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Tafuta Upole Umpendeze Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • ‘Kupata Burudisho la Nafsi Zenu’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 82

Wimbo Na. 82

Igeni Upole wa Kristo

Makala Iliyochapishwa

(Mathayo 11:28-30)

1. Bwana Yesu hakuwa na kiburi;

Hakujitakia makuu kamwe.

Alikuwa na jukumu muhimu;

Lakini kajishusha sikuzote.

2. Nyote mulio na mahangaiko,

Ichukueni nira yake Kristo.

Mutapata burudisho la nafsi;

Bwana wetu ana tabia-pole.

3. ‘Nyote ni ndugu,’ kasema Bwanetu.

Musiwe mukitafuta makuu.

Wapole wana thamani kwa Mungu;

Watairithi dunia milele.

(Ona pia Mt. 5:5; 23:8; Met. 3:34; Rom. 12:16.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki