Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 57
  • Kutafakari kwa Moyo Wangu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutafakari kwa Moyo Wangu
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Kutafakari kwa Moyo Wangu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kutafakari Ambako Hunufaisha
    Amkeni!—2000
  • Kutafakari
    Amkeni!—2014
  • Kwa Sababu Gani Utafakari?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 57

Wimbo Na. 57

Kutafakari kwa Moyo Wangu

Makala Iliyochapishwa

(Zaburi 19:14)

1. Kila nitafakaripo;

Nayo mawazo ya moyo,—

Bwana, na yakupendeze,

Nitembee njia yako.

Nami ninapolemewa,

Hata usingizi sina,

Wewe nikutafakari,

Niwazie mambo mema.

2. Mambo safi na ya kweli,

Wema adili wowote,

Mambo yasemwayo vema—

Na amani niwe nayo.

Mawazo yako ni bora!

Kamwe hayahesabiki.

Mungu nilitafakari,

Sikuzote Neno Lako.

(Ona pia Zab. 49:3; 63:6; 139:17, 23; Flp. 4:7, 8; 1 Tim. 4:15.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki