Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 30
  • Yehova Aanza Kutawala

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Aanza Kutawala
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Aanza Kutawala
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Hii Ni Siku ya Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 30

Wimbo Na. 30

Yehova Aanza Kutawala

Makala Iliyochapishwa

(Ufunuo 11:15)

1. Ni siku ya Yehova, Ufalme watawala.

Kaweka Jiwe Kuu Sayuni.

Wote washangilie. Yehova wamwimbie.

Bwana Kristo ameanza kutawala.

(KORASI)

Utaleta nini Ufalme?

Kweli haki zitashinda.

Utaleta nini kingine?

Uzima na shangwe tele.

Sifu Mwenye Enzi Kuu,

Kwa fadhili-upendo.

2. Kristo anatawala, Har-Magedoni yaja.

Mufumo wa kale utapita.

Sasa ndio wakati wa kuhubiri kote.

Wapole wamutii Yehova Mungu.

(KORASI)

Utaleta nini Ufalme?

Kweli haki zitashinda.

Utaleta nini kingine?

Uzima na shangwe tele.

Sifu Mwenye Enzi Kuu,

Kwa fadhili-upendo.

3. Mufalme wa Yehova; Mwenye fahari kubwa.

Kwa jina la Mungu anakuja.

Ingia malangoni ya hekalu tukufu,

Hivi punde vyote atavitawala.

(KORASI)

Utaleta nini Ufalme?

Kweli haki zitashinda.

Utaleta nini kingine?

Uzima na shangwe tele.

Sifu Mwenye Enzi Kuu,

Kwa fadhili-upendo.

(Ona pia 2 Sam. 7:22; Dan. 2:44; Ufu. 7:15.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki