Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Machi uku. 3
  • Waliacha Kufanya Mapenzi ya Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Waliacha Kufanya Mapenzi ya Mungu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Yeremia Nabii wa Hukumu za Mungu Asiyependwa na Wengi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
  • Uwe Jasiri Kama Yeremia
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • “Nimeyatia Maneno Yangu Katika Kinywa Chako”
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
  • Yeremia hakuacha kuongea na watu kuhusu Yehova
    Wafundishe Watoto Wako
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Machi uku. 3

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | YEREMIA 5-7

Waliacha Kufanya Mapenzi ya Mungu

7:1-4, 8-10, 15

  • Kwa ujasiri Yeremia alifunua dhambi na unafiki wa Waisraeli

  • Waisraeli waliona hekalu kuwa hirizi ambayo ingewalinda

  • Yehova alisema wazi kwamba dhabihu za kidesturi haziwezi kufunika matendo maovu

Jiulize: Ninaweza kuhakikishaje kwamba ibada yangu si ya kidesturi na inapatana na mapenzi ya Yehova?

Yeremia akitangaza ujumbe wa Yehova akiwa kwenye lango la hekalu

Yeremia akiwa katika lango la nyumba ya Yehova

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki