Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Aprili uku. 7
  • Uwe Jasiri Kama Yeremia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uwe Jasiri Kama Yeremia
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Yeremia Nabii wa Hukumu za Mungu Asiyependwa na Wengi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
  • “Nimeyatia Maneno Yangu Katika Kinywa Chako”
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
  • Yehova Amtuma Yeremia Akahubiri
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Utachagua Marafiki wa Aina Gani?
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Aprili uku. 7

HAZINA NA NENO LA MUNGU | YEREMIA 25-28

Uwe Jasiri Kama Yeremia

Nabii Yeremia akionya kwamba Yerusalemu litaharibiwa

Yeremia alionya kuwa Yerusalemu lingeharibiwa kama Shilo

26:6

  • Pindi fulani sanduku la agano, ambalo liliwakilisha kuwapo kwa Yehova, lilikuwa Shilo.

  • Yehova aliwaruhusu Wafilisti walichukue Sanduku, na halikurudishwa tena Shilo

Makuhani, manabii na watu wakimkamata Yeremia

Makuhani, manabii, na watu wote walitisha kumuua Yeremia

26:8, 9, 12, 13

  • Watu walimkamata Yeremia kwa sababu aliendelea kutoa unabii dhidi ya Yerusalemu na hekalu

  • Yeremia hakukata tamaa na kutoroka

Nabii Yeremia

Yehova alimlinda Yeremia

26:16, 24

  • Yeremia aliendelea kutenda kwa ujasiri na Yehova hakumwacha kamwe

  • Mungu alimchochea Ahikamu mwenye ujasiri kumlinda Yeremia

Kwa sababu Yehova alimtegemeza na kumtia moyo, Yeremia alifaulu kuhubiri kwa miaka 40 ujumbe ambao haukupendwa na watu wengi

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki