Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Februari uku. 6
  • Unafikiri Mawazo ya Nani?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unafikiri Mawazo ya Nani?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Beba Mti Wako wa Mateso na Uendelee Kunifuata
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Kuishi Si Kwa Ajili Yetu Wenyewe Tena
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
  • Kumtumikia Yehova kwa Roho ya Kujidhabihu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Alikuwa Mshikamanifu Licha ya Majaribu
    Igeni Imani Yao
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Februari uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATHAYO 16-17

Unafikiria Mawazo ya Nani?

16:21-23

Yesu amwambia Petro aende nyuma yake
  • Ingawa bila shaka Petro alikuwa na nia njema, Yesu alirekebisha haraka mawazo yasiyofaa ya Petro

  • Yesu alijua kwamba huo haukuwa wakati wa ‘kujitendea kwa fadhili.’ Shetani alitamani sana Yesu alegeze msimamo wake wakati huo muhimu sana

16:24

Yesu alitaja mambo matatu tunayopaswa kufanya ili kuruhusu mapenzi ya Mungu yatuongoze. Mambo hayo yanahusisha nini?

  • Jikane mwenyewe

  • Beba mti wako wa mateso

  • Endelea kumfuata Yesu

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki