Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Februari uku. 6
  • Februari 19-25

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 19-25
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Februari uku. 6

Februari 19-25

Mathayo 16-17

  • Wimbo 45 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Unafikiria Mawazo ya Nani?”: (Dak. 10)

    • Mt 16:21,22—Petro aliruhusu hisia ziathiri kufikiri kwake (w07 2/15 16 ¶17)

    • Mt 16:23—Petro hakuwa akifikiria mawazo ya Mungu (w15 5/15 13 ¶16-17)

    • Mt 16:24—Wakristo wanapaswa kuruhusu mawazo ya Mungu yaongoze maisha yao (w06 4/1 23 ¶9)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mt 16:18—Ni nani aliyekuwa mwamba ambao juu yake Yesu alijenga kutaniko la Kikristo? (“Wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu,” “kutaniko” habari za utafiti Mt 16:18, nwtsty)

    • Mt 16:19—“Funguo za Ufalme wa mbinguni” ambazo Yesu alimpa Petro ni nini? (“funguo za Ufalme wa mbinguni” habari za utafiti Mt 16:19, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mt 16:1-20

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 78

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Kutumia Maswali Vizuri”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Fanya Kazi Ambayo Yesu Alifanya—Fundisha.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 9

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 134 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki