Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 133
  • Mwabudu Yehova Ujanani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mwabudu Yehova Ujanani
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Mwabudu Yehova Ujanani
    Mwimbieni Yehova
  • Vijana, Je, Mnajitayarisha kwa Ajili ya Wakati Ujao?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Mwabudu Yehova Wakati wa Ujana
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Shiriki Shangwe ya Kutoa!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 133

WIMBO NA. 133

Mwabudu Yehova Ujanani

Makala Iliyochapishwa

(Mhubiri 12:1)

  1. 1. Yehova Mungu anatupenda,

    Sisi ni wana na binti zake.

    Tunapomtumikia Yeye,

    Hutubariki na kututunza.

  2. 2. Tuwaheshimu wazazi wetu,

    Tuwaeleze hisia zetu.

    Tutapata kibali cha Mungu,

    Tutakuwa rafiki za Mungu.

  3. 3. Basi Yehova tumkumbuke,

    Sikuzote tuipende kweli.

    Tukifanya yote tuwezayo,

    Tutamfurahisha Yehova.

(Ona pia Zab. 71:17; Omb. 3:27; Efe. 6:​1-3.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki